Kikais

Kikais ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakais. Kulingana na hesabu za mwaka wa 1993, idadi ya wasemaji wa Kikais ilikuwa watu 700. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikais iko katika kundi la “South Bird's Head”.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search